Information
Category: Places
-
Last updated July 25, 2011
-
3 Total likes
Social Share
Updates
-

mapinduzi halisi: WARAKA WA WAZI KWA NDG. JAKAYA MRISHO KIKWETE- IKULU YA TANZANIA
Kikosi 2,858 ni muungano wa Askari waajiriwa wa kutoka majeshi mawili hapa
Tanzania (JKT na JWTZ). Tupo sehemu mbali mbali ya Tanzania (kwenye vituo
vya kazi) ambapo baadhi y... moreWARAKA WA WAZI KWA NDG. JAKAYA MRISHO KIKWETE- IKULU YA TANZANIA
Kikosi 2,858 ni muungano wa Askari waajiriwa wa kutoka majeshi mawili hapa
Tanzania (JKT na JWTZ). Tupo sehemu mbali mbali ya Tanzania (kwenye vituo
vya kazi) ambapo baadhi yetu tupo kwenye safu yako ya Ulinzi na Usalama wa
Taifa. Tumeamua kuungana kwa pamoja kutekeleza kwa VITENDO dhana ya
kulilinda na kulifia Taifa letu ambalo kwa sasa limekuwa kama pango la
mafisadi,wezi na wafujaji wa HAKI za watanzania. Kwa mara ya kwanza mimi na
kikosi changu chenye Askari watiifu kwangu 2,858 tumeamua kuacha kukaa
kimya na kukuacha ukiendelea kuiharibu Tanzania waliyopewa Watanzania kama
zawadi na Mungu. Tumeamua kukuondoa madarakani KWA NJIA YOYOTE ILE ndani ya
siku 100 uwe mzima ukaishi uhamishoni au uwe mfu watu wakuzike tukusahau!.
Sababu za kufanya haya ni nyingi na baadhi hizo ni hizi zifuatazo;
A. WEWE NI FISADI NA UNAENDELEA KUWALINDA MAFISADI WASICHUKULIWE HATUA
ZA KISHERIA
B. ULISHIRIKIANA NA BAADHI YA ASK... less
November 19, 2011
-

mapinduzi halisi: Air Tanzania managing director, Mr David Mattaka, allegedly proposed the use of an "agent" to push for a multi-billion shillings fleet modernisation deal with American plane maker - Boeing.
The claim, in a confidential diplomatic communicatio... moreAir Tanzania managing director, Mr David Mattaka, allegedly proposed the use of an "agent" to push for a multi-billion shillings fleet modernisation deal with American plane maker - Boeing.
The claim, in a confidential diplomatic communication from the US embassy in Dar es Salaam, says the ATCL boss implied that the middleman would help to push for the deal that the embassy officials pegged at some $537 million (Sh750 billion) in sales.
According to the information, Mr Mattaka even dropped the name of "a wealthy South Asian hotelier" as the preferred agent to "open doors" in the deal to purchase 10 planes in a government backed plan to revive the national airline that was then tittering on the brink of collapse.
However, Mr Mattaka yesterday vehemently dismissed the reports and said he did not at any time do what is being claimed in the memos.
He told The Citizen in a telephone interview that he did not hold talks with any US officials over the said agent. "That is ... less
August 5, 2011
-
mapinduzi halisi: Kuna tetesi kua mnadhimu mkuu wa majeshi ya Tanzania a.k.a Mr. Shimbo anamiliki bajeti za wizara zaidi ya mbili katika account yake ya nje namaanisha zaidi ya 2 Trilioni......ngoja nitafute data zaidi ntawajuza........!
August 4, 2011
-

mapinduzi halisi: Mambo makuu yanayonifanya nianzishe hii movement ya mapinduzi hapa jamvini
1. Serikali imeshindwa kutoa ajira kwa vijana nchini
2. Serikaliimeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kufanya maisha yawe magumu SANA
3. Serikali imeshindwa kuwachukulia hatua ... moreMambo makuu yanayonifanya nianzishe hii movement ya mapinduzi hapa jamvini
1. Serikali imeshindwa kutoa ajira kwa vijana nchini
2. Serikaliimeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kufanya maisha yawe magumu SANA
3. Serikali imeshindwa kuwachukulia hatua wabadhilifu wote wa pesa za umma
4. Serikali inaendeshwa kisanii na bunge limegeuka kua mahali pa mipasho na vituko kila kukicha
5. Serikali imeshindwa kuwasimamisha wanasiasa ambao ni wafanya biashara
6. Viongozi wamejilimbikizia mali na vito vya kifahali huku wananchi wakisota na kuumia
7. Mali za serikali zinatumia kwa matumizi binafsi ya watu wachache
8. Serikali haisikilizi na kujali kero za wananchi
9. Usalama wa Taifa umegeuka na kua ngao ya chama tawala badala ya kusimamia uhujumu wa uchumi wa nchi
10. Rasilimali za Taifa,madini,utalii n.k unanufaisha jamii za viongozi tu na si Taifa la Tanzania.
Hizo ni sababu 10 ambazo kama mwananchi wa Tanzania ulie na akili timamu utaniunga mkono hii movement na kumjulisha mwenzako mpaka hapo tutakapotatul... less
July 25, 2011

Loading ...
Info
Basic Information
Basic Information
-
Posted By:
mapinduzi halisi
-
Posted:
Jul 25, 2011
-
Last Updated:
Jul 25, 2011
-
Views:
483
-
Likes:
3
Category:
Places
Description:
"Our lives begin to end the day we become silent about things that matter."