Kadama Magesse Kadama: We are supplying solar products in Kigoma, Kagera, Mwanza and Musoma in villages, towns and forests. Since February 2011, more than 200 homes, 30 businesses, 15 hospitals, 7 churches and 550 children are still benefiting from our services. Our target is s... moreWe are supplying solar products in Kigoma, Kagera, Mwanza and Musoma in villages, towns and forests. Since February 2011, more than 200 homes, 30 businesses, 15 hospitals, 7 churches and 550 children are still benefiting from our services. Our target is serve 500,000 children, 100,000 homes, 30,000 businesses, 10,000 health centres and 200 religious organizations by the end of 2012.
Kadama Magesse Kadama is on Facebook. Join Facebook to connect with Kadama Magesse Kadama and others you may know. Facebook gives people the power to share and makes the world more open and connected.
Kadama Magesse Kadama: Kwa mahitaji yako ya sola, tunapatikana kanda ya ziwa, mijini, vijijini na porini kuwafikishia huduma wateja wetu.
August 8, 2011
Kadama Magesse Kadama: Tunaweza kukutumia bidhaa ya chaguo lako hadi ulipo katika muda muafaka mara tu baada ya kuthibitisha kupokea kutoka kwako malipo ya bei na nauli ya usafirishaji wa mzigo.
Description:We are supplying solar products in Kigoma, Kagera, Mwanza and Musoma regions in Tanzania in villages, towns and forests. Since February 2011 to August 2011, according to our inventory turnover, more than 200 homes, 30 businesses, 15 hospitals, 7 churches and 550 children are still benefiting from ou... moreWe are supplying solar products in Kigoma, Kagera, Mwanza and Musoma regions in Tanzania in villages, towns and forests. Since February 2011 to August 2011, according to our inventory turnover, more than 200 homes, 30 businesses, 15 hospitals, 7 churches and 550 children are still benefiting from our services. Our target is serve 500,000 children, 100,000 homes, 30,000 businesses, 10,000 health centres and 200 religious organizations by the end of 2012.
K&K Group Ltd ni wauzaji wa bidhaa na vifaa bora vya kuzalisha umeme utokanao na mionzi ya jua kanda ya Ziwa, Tanzania.
[Mobile solar systems distributors in the Lake Zone Tanzania]
Tunahakikisha kila familia, duka/biashara, ofisi, hospitali, zahanati, shule, kanisa/msikiti, kambi na mwanafunzi anapata angalau taa moja ya sola kwa bei nafuu kwa matumizi ya kupata mwanga katika shughuli zake. less
Je unahitaji taa ndogo ya sola kwa matumizi ya kupata mwanga wa kusomea, ofisini, nyumbani, dukani, safarini, kazini au kuchaji simu?
Bidhaa zetu zina bei nafuu na maradufu zaidi. Bei zetu zinaanzia Sh. 26,000/= hadi Sh. 189,000/= kutegemea na chaguo lako.
Tunahakikisha kila mtu, mtoto wa shule, familia, duka/biashara, ofisi, hospitali, zahanati, shule, kanisa/msikiti, kambi na mwanafunzi anapata angalau taa moja ya sola kwa bei nafuu kwa matumizi ya kupata mwanga katika shughuli zake.
Bidhaa zetu ni bora kutoka India, Ujerumani na China kupitia Dar es Salaam. Hatuuzi bidhaa feki.
Tunaweza kukutumia bidhaa ya chaguo lako hadi ulipo katika muda muafaka mara tu baada ya kuthibitisha kupokea kutoka kwako malipo ya bei na nauli ya usafirishaji wa mzigo.
Bidhaa zetu zimesaidia na zinaendelea kusaidia watanzania wengi.